Spika
 wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili Mjini  Zanzibar kwa kutumia Boti 
wakati alipofanya ziara ya kutembelea Baraza la Wawakilishi mapema leo 
Septemba 2016.
 Spika
 wa Bunge  Mhe Job Ndugai akisalimiana  na Spika wa Baraza la 
Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid (katikati)  alipowasili 
katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kushoto ni Naibu Spika 
wa Baraza hilo Mhe Mgeni Hassan Juma.
 Spika
 wa Bunge  Mhe Job Ndugai (kulia) akizungumza na Spika wa Baraza la 
Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid (katikati) na Naibu Spika wa 
Baraza hilo  Mhe Mgeni Hassan Juma wakati alipowatembelea.
 Spika
 wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa tatu toka kulia) akifuatilia kikao cha 
Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati alipowatembelea. Wapili kulia ni 
Spika wa Baraza hilo Mhe Zuberi Ali Maulid na wa kwanza kulia ni Naibu 
Spika wa Baraza hilo Mhe Mgeni Hassan Juma.
  Spika
 wa Bunge Mhe Job Ndugai kiwasalimia Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi 
Zanzibar alipotambulishwa wakati wa kikao cha Baraza hilo.
 Spika
 wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na 
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid (kulia) na
 Naibu Spika wa Baraza hilo Mhe Mgeni Hassan Juma (kushoto).
Spika wa Baraza la Wawakilishi  Mhe Zuberi Ali Maulid akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati wa ziara hiyo.


0 comments :
Post a Comment