Taarifa ya Yanga kuhusu kumtimua kazi Kocha Hans Van De Plujin na Juma Mwambusi



 
Kumekuwepo na taarifa katika mitandao mbalimbali ambayo inaihusisha klabu ya Yanga kumfukza kazi kocha mkuu wa klabu hiyo, Hans Van De Plujin na msaidizi wake, Juma Mwambusi.
Taarifa hizo zimeufikia uongozi wa Yanga na kupitia ukurasa wa klabu hiyo wa Facebook umetoa taarifa ya kukanusha kumfukuza kocha na kwamba Plujin bado anaendelea na kibarua chake kama kawaida.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment