Rais
Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee
kulikofanyika shughuli ya kuaga mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi
kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano
kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo Jijini Dar es salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali
waliohudhulia shughuli ya kuaga mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi
kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano
kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo Jijini Dar es salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na waombolezaji wengine wakiwa tayari
kwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi
kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano
kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo Jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akitoa taarifa
ya awali na kutoa muongozo wa namna shughuli ya kuaga inavyotakiwa
kufanyika.
Mtoto
Mkubwa wa Marehemu Mzee Joseph Mungai, Jimmy Mungai akisoma wasifu wa
Marehemu Baba yake, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake, iliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es salaam leo. Mwili wa Mzee
Mungai unataraji kusafirishwa kwenyo kwenye Mufingi Mkoani Iringa kwa
mazishi.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli (wa nne kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu, Mh. Benjamin Mkapa (wa tatu kushoto), Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt.
Mohamed Gharib Bilal (wa tatu kulia), Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick
Sumaye (kushoto), Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma
Kikwete (kulia) pamoja na viongozi wengine wakifatilia wasifu wa
Marehemu Mzee Mungai, uliokuwa ukisomwa na Mtoto wake Mkubwa, Jimmy
Mungai.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kimataifa na Kikanda, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Serikali, wakati wa Shughuli za kuaga mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo Jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole mjane wa Marehemu Mzee Joseph Mungai.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Wariomba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara
mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza
mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
salaam.
Baadhi ya viongozi waliowahi kufanya kazi pamoja na Marehemu Mzee Mungai wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wake, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam.
Mzee Chrisant Mzindakaya akilia kwa uchungu baada ya kuona mwili wa rafiki yake.
Familia ya Marehemu.

0 comments :
Post a Comment