Kamanda
wa Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Simon Siro amesema mwenyekiti
wa Yanga Bwna yusufu manji kesho anafikishwa mahakamani kwa kosa la
matumizi ya madawa ya kulevya.
Kamanda
siro ameyasema hayo leo wakati akihojiwa na kipindi cha radio cha
E-sports kinachorushwa na EFM chini ya mtangazaji Maurid Kitenge.
Katika
mahojiano hayo kamanda Siro ameeleza kuwa Yusufu manji baada ya kupimwa
amethibika kuwa ni mtumiaji wa madawa ya kulevya.
0 comments :
Post a Comment