Tazama Na Usikie Video :Mbowe Na Naibu Spika Walivyopambana Katika Maswali Ya Papo Kwa Papo Kwa Waziri Mkuu!! Ni shida.


Mbowe aliuliza kuwa kutokana na viongozi wa chadema ikiwamo wabunge 2 Lema kunyimwa dhamana na Lijuakali kufungwa kwa sababu za kisiasa, wabunge 6 wa Chadema kufungwa, kiongozi wa Chadema Lindi nae kufungwa na viongozi wengine takribani 216 kufungwa au kuwa na kesi mahakamani ni utekelezaji wa kauli ya Magufuli kufuta upinzani kabala ya 2020?
Waziri mkuu anasema masuala ya mahakamani hawezi kuyazungumzia na nchi inaongozwa kwa katiba na sheria
Mbowe anasema ushahidi upo wa kauli za rais kuanagamiza upinzani kabla ya 2020 na hafuati katiba na sheria kama alivyodai ila waziri na wakithibitisha hilo waziri mkuu atakuwa tayari kujiuzulu, ndipo naibu spika akazuia maswali hayo na kukawepo kelele kutoka kwa wabunge wa upinzani
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment