Jumapili ya February 12 2017 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans watarudi uwanjani kuanza harakati zao za kuwania taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kucheza dhidi ya N’gaya Club ya Comoro.
Yanga watachezaji Comoro katika mji wa Moron ambapo mwaka huu Yanga wamethibitisha kuja wakiwa makini zaidi kutokana na rekodi ya wapinzani wao wa sasa, licha ya kuwa Yanga wamekuwa na utamaduni wa kuzifunga timu za Comoro kwa idadi kubwa ya magoli.
Kocha wao msaidizi Juma Mwambusi amekiri kutoichukulia pouwa timu hiyo, kulingana na kuwa na rekodi ya kucheza michezo 32 ndani ya mwaka mzima pasipo kupoteza mchezo wowote, huku ikiwa imetoa sare 6 na wametwaa mataji manne.
Rekodi hiyo imeifanya Yanga kuingia uwanjani wakiwa na tahadhari kubwa “Tumekuja hapa kuhakikisha tunaiwakilisha Tanzania vizuri na kupata ushindi, tunajua kuwa ni Mabingwa wa kisiwa hiki na wameweza kuchukua mataji manne hiyo tu inaonesha kuw ni timu ngumu na inawechezaji kutoka Ivory Coast” >>> Mwambusi

0 comments :
Post a Comment