Aliyekuwa afisa habari wa Yanga Jerry Muro ameibuka na ku-post ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram saa chache baada ya Hans van Pluijm kutangazwa kuwa kocha mkuu wa Singida United.
Ujumbe alioandika Muro Unasomeka: “Babu Hans pumzika hapo kwa muda, wapiga dili wanaomdanganya muhindi wakishaondoka kule, tutarejea tu hata kwa mlango wa uani.”
Plujm na Muro walifanya kazi pamoja ndani ya Yanga kabla ya Muro kufungiwa na TFF na wakati Pluijm hajaondolewa katika nafasi ya ukocha mkuu.




0 comments :
Post a Comment