Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo. kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipokuwa akimfafanulia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati wa mkutano wa NEC mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mjumbe kutoka mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa katika kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akifungua kikao cha NECmjini Dodoma leo kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akifungua kikao hicho leo kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Blogger Comment
Facebook Comment