Mbunge WaChadema Aokolewa Na Polisi. ....Kisa Kupita Jirani Na Ofisi Za Ccm


Mbunge wa Chadema Kunti Majala ameokolewa na Polisi Mara baada ya  dereva wake kushushiwa kipigo na makada wa Chama Cha Mapinduzi ,Baada ya Kuendesha Gari Hilo Karibu na Makao Makuu ya CCM Dodoma.


N:B Jengo lipo karibu na barabara magari yanapopita kwahiyo mbunge alikuwa anapita barabarani
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment