Tanzania Ni Miongoni Mwanchi Ambazo Wananchi Hawana Furaha Rwanda Inaongoza



March 20, 2017 imetajwa list ya nchi 155 zenye watu wasiokuwa na furaha duniani, list hiyo imehusisha nchi kutoka mabara yote ambayo watu wanaishi. Kupitia list hiyo imetajwa piaTanzania ikiwa kwenye nafasi ya 153 wakati nchi ya kwanza kwa watu wenye furaha Duniani ni Norway na ya mwisho ni Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Kwa mujibu wa ripoti ya BBC imetoa list ya viwango vya furaha kwenye nchi zote duniani na hapa nimekuwekea hapa nchi 20 zenye watu wenye furaha na wasio na furaha dunian
i
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment