BREAKING NEWS VIDEO:Adhabu Aliyopewa Msemaji Wa Simba Na Kamati Ya Nidhamu TFF

Leo April 23 2017 hukumu ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manaraimetangazwa rasmi na kamati ya maadili ya TFF, baada ya mtuhumiwa Haji Manara kushindwa kufika katika kamati ya maadili kujieleza kwa madai amepata dharura na kusafiri kwenda Zanzibar katika matatizo ya kifamilia.
Jerome Msemwa
Manara wa Simba aliitwa na kamati ya maadili ya TFF kwa tuhuma za makosa matatu ambayo yote ndio adhabu zake zimetangazwa na makamu mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya TFF wakili Jerome Msemwa, msemaji wa Simba aliyatenda makosa hayo April 19 katika mkutano na waandishi wa habari.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment