Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25,
2015.
Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada
ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es
salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya muapisha Ndugu Kailima Ramadhani
Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya
leo Julai 25, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete akikabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Ndugu
Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar
es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete akipeana mikono na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey baada
ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam
jioni ya leo Julai 25, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ndugu Kailima Ramadhani
Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya
leo Julai 25, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Bw. Florens Turuka, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji Hamid Mohamoud Hamid, Rais Kikwete, Ndugu Kailima
Ramadhani Kombwey, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Msajili
wa vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi.
Rais Kikwete akiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey
Rais Kikwete akisalimiana na mtoto wa Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey, Msemakweli (2) wakati wa hafla hiyo fupi.
PICHA NA IKULU
0 comments :
Post a Comment