
Miili ya watu 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa Lucky Vicent waliopata ajali ya gari May 6, 2017 imeagwa leo May 8, 2017 ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu aliwaongoza watanzania kuiaga miili hiyo katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Kutoka katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid tumezipata picha za baadhi ya matukio uwanjani hapo.

Watu wa Huduma ya Kwanza wakimpatia huduma mmoja wa wazazi walioondokewa na watoto wao, Arusha

Majeneza yaliyohifadhi miili ya marehemu wakati wa tukio la kuwaga, Arusha

Mzazi akipatiwa msaada wa huduma ya kwanza

Waombolezaji wakiwa ndani ya Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha


Unavyoonekana Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ukiwa umejaa waombolezaji
VIDEO: Maombolezo ya kitaifa ya wanafunzi wa Lucky Vicent, Arusha
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment