Kupitia XXL ya Clouds FM leo May 4, 2017 mtangazaji Soudy Brown ametuletea U heard ambayo inawahusu mastaa wa Bongo Fleva na Bongo Movie Harmonize na Jacqueline Wolper ambao wanadaiwa kuachana.
Inadaiwa pia kuwa staa Harmonize kutoka WCB amepata mchumba mpya raia wa Italia ambaye tayari ana ujauzito wake.
Baada ya Soudy kumpigia simu Wolper aliambiwa amuulize Harmonize ambaye naye alipoulizwa alikuwa na majibu haya:
“Kila kitu kinawezekena, hata Adam na Hawa walipotezana miaka kibao wakaja kuonana kwa bahati mbaya. Kuhusu kumpa mimba huyo mzungu, inaweza kuwa ni baraka maana pale WCB nimebakia mimi tu; Diamond, Ray Vanny na Rich Mavoko wana watoto.” – Harmonize.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment