Uteuzi Wa Magufuli Leo May 4,2017


Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Taarifa iliyotolewa leo May 4, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuziwa Prof. Egid Beatus Mubofu umeanza May 2, 2017.
Prof. Egid Beatus Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Joseph B. Masikitiko ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment