Ni headlines za Mwimbaji kutoka Bongo Flevani, Hussein Machozi ambae watu wengi walikuwa na kiu ya sauti yake kwenye spika za Radio sasa time hii staa huyo ametuletea video ya single yake mpya iitwayo ‘Nipe Sikuachi’ iliyofanyika nchini Italy.
Ukitazama hapa usisahau kuandika maoni yako ili mkali huyo akipata apate kusoma ulichomuandikia
ULIIKOSA INTERVIEW YA HUSSEIN MACHOZI BAADA YA KUWASILI TANZANIA AKITOKA NCHINI ITALY BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment