VIDEO:Ushindi Wa Simba Kwa Stand United


May 12 2017 Simba SC iliikaribisha Stand United ya Shinyanga kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017, mchezo huo Simba walifanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ya Simba yalifungwa na Juma Luzio wakati la goli la Stand lilifungwa na Selembe.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment