UFILIPINO: Meya wa Jiji la Ozamiz,Reynaldo Parojinog na mke wake pamoja na watu wengine 10 wameuawa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mtandao wa biashara ya Dawa za Kulevya.
Polisi walikumbana na upinzani wa walinzi Meya huyo walipotaka kumkamata. Binti yake(Naibu Meya) na kaka yake wamekamatwa.
Kiongozi huyo alitajwa katika orodha ya watu 160 ya watuhumiwa wa biashara hiyo haramu na Rais Durtete
Chanzo cha habari Al Jazeera
0 comments :
Post a Comment