Kiungo wa Mbeya City, Raphael Daud amesaini leo jumapili july 30 2017 mkataba wa miaka miwili wa kuicheza Yanga msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
Kiungo huyo amejiunga tayari na kambi ya Yanga mjini Morogoro na kesho rasmi ataanza mazoezi.
Ikumbukwe Raphael Daud na Kenny Ally aliyesajiliwa na Singida United walitengeneza kombinesheni nzuri katika safu ya kiungo ya Mbeya City kwa misimu miwili mfululizo.
0 comments :
Post a Comment