Mwanamuziki Naseeb Abdul , Diamond Platnumz akisalimia
warembo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa
Kilimanjaro International Airport (KIA).
Shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015
linafanyika usiku wa leo katika viwanja ya Kili Home Resort kuanzia saa
mbili usiku likiambatana na burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo
wasanii mbalimbali watatumbuiza akiwemo Diamond Platnumz na burudani ya
Uchekeshaji kutoka kwa Masanja Mkandamizaji.







0 comments :
Post a Comment