Dk Yahaya Msigwa ajitosa ubunge Iringa mjini

  • Written by  Nkupamahmedia

Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akitoa ada ya shilingi laki moja kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini. (Picha na Friday Simbaya)

Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akikabidhiwa fomu ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini. (Picha na Friday Simbaya)(P.T)


Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akiongea na wanachama kwa kuwaelezea
nia yake ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini katika Ukumbi Highland. (Picha na Friday Simbaya)

Mwanachama mmoja Mary Kowi akimuuliza swali Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa kwamba endapo atabahatika kuteuliwa na chama kupeperusha bendera na kushinda ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka huu, atawafanyia nini watoto yatima na wajane. Dk. Msigwa ametia nia na kuchukua fomu.(Picha na Friday Simbaya)
Sehemu ya wanachama waliokuja kumsikiliza Dk. Msigwa wakati akitia nia ya kugombea ubunge Iringa mjini 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment