Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Tanzania, Renatus
Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi moja ya mashine ndogo kati ya tatu za
kufyonza uchafu kwa watoto Njiti kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Grace Magembe kwa niaba ya Hospitali tatu za rufaa za Wilaya ya
Temeke,Kinondoni na Ilala.Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom
Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na
Doris Mollel Foundation.Wanaoshuhudia wapili toka kushoto ni Dkt.Vicent
Mboya na Doris Mollel.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe(wapili toka
kulia)akipokea Mashine ya kusaidia kupumua kwa watoto wanaozaliwa Njiti
kwa niaba ya Hospitali tatu za rufaa za Wilaya ya Temeke,Kinondoni na
Ilala toka kwa Mkuu wa kitemngo cha Vodacom Foundation Tanzania Renatus
Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation
kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris
Mollel Foundation.Wanaoshuhudia wapili toka kushoto ni Dkt.Vicent Mboya,
Afisa Muuguzi wa watoto wachanga Mary Machemba na Doris Mollel.
Afisa Muuguzi wa watoto wachanga Mary Machemba akiwafafanulia
waandishi wa habari(hawapo pichani)jinsi mashine ya kufyonza uchafu kwa
watoto wanaozaliwa Njiti inavyofanya kazi. Msaada huo ulitolewa na
Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom
kwa kushirikiana na Doris Mollel Foundation.Wanaoshuhudia katika picha
kutoka kushoto ni Renatu Rwehikiza,Dkt.Vicent Mboya, Mganga Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Grace Magembe na Doris Mollel.
Dkt.Kiongozi wa Hospitali ya Amana Dkt.Vicent Mboya,akiongea na
waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa
vifaa vya ajili ya watoto wanaozaliwa Njiti katika hospitali tatu za
rufaa za Wilaya ya Temeke,Kinondoni na Ilala.Vifaa hivyo vilitolewa
msaada na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja
na Vodacom kwa kushirikiana na Doris Mollel Foundation.
Afisa Muuguzi wa watoto wachanga Mary Machemba akiwafafanulia
waandishi wa habari(hawapo pichani)jinsi kifaa maalumu cha mashine ya
kufyonza uchafu kwa watoto wanaozaliwa Njiti kinavyofanya kazi. Msaada
huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya
Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris Mollel
Foundation.Wanaoshuhudia katika picha kutoka kushoto ni Renatu
Rwehikiza,Dkt.Vicent Mboya, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace
Magembe na Doris Mollel.
Mkuu wa Vodacom Foundation Renatu Rwehikiza(kushoto)Dkt.Kiongozi wa
Hospitali ya Amana Vicent Mboya, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Grace Magembe na Doris Mollel wakimshuhudia Afisa Muuguzi wa watoto
wachanga wa Hospitali ya Amana Mary Machemba akifafanulia jinsi mashine
ya kufyonza uchafu kwa watoto wanaozaliwa Njiti inavyofanya kazi kwa
waandishi wa habari(hawapo pichani) Msaada wa kifaa hicho ulitolewa na
Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom
kwa kushirikiana na Doris Mollel Foundation
Mkuu wa Vodacom Foundation Renatu Rwehikiza,akiwaangalia watoto
wachanga waliozaliwa Njiti katika hospitali ya Amana jijini Dar es
Salaam,alipofika hospitalini hapo kutoa msaada wa mashine maalumu za
kuwasaidia watoto hao uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation
kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris
Mollel Foundation.
Meneja biashara wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania,Grace Lyon akiwakabidhi Vitenge wakina mama waliojifungua
watoto wachanga katika hospitali ya Amana jijini Dar es
Salaam.walipofika hospitalini hapo kutoa msaada wa mashine maalumu za
kuwasaidia watoto hao uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation
kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris
Mollel Foundation.
Baadhi ya wauguzi wa hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam wakiwa
katika ukumbi wa mkutano wakati wa hafla fupi ya kupokea msaada wa
mashine mbalimbali za kuwasaidia watoto wachanga wanaozaliwa Njiti
uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya
Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris Mollel Foundation.
0 comments :
Post a Comment