Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed
Mpinga akiwasalimia kwa kuonesha vidole baada ya kuzikagua timu za Foma
na Mtongani katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya mpira wa miguu
ya timu za Bodaboda ya Mpinga Cup, Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, kwenye
Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo.Lengo la mashindano hayo
yaliyoshirikisha timu 108 ni kutoa elimu ya usalama barabarani kwa
Bodaboda. Kushoto kwake ni Msimamizi wa mashindano hayo, Mrakibu
Msaidizi wa Polisi,Mbunja Matibu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG)
Mchezaji wa timu Foma (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Mtongani
Ni heka heka katika lango la timu ya Foma
0 comments :
Post a Comment