Kikao Maalum cha Kamati Kuu kitachuja majina na kubaki matano (5)
Mji wa Dodoma wafurika
Usalama waongezwa
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete(wa pili kushoto) akiongoza kikao cha Kamati
Kuu Maalum cha CCM mjini Dodoma, Kikao hicho kitachuja majina ya
wagombea na kupata majina matano(5) .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa taarifa fupi ya
wajumbe waliohudhuria kikao cha Kamati Kuu Maalum ambapo wajumbe 28
walihudhuria kati ya 32.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakipitia baadhi ya makabrasha wakati wa kikao cha Kamati Kuu Maalum
(Picha na Adam Mzee)
0 comments :
Post a Comment