Friday, July 10, 2015
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao hicho
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa maneno ya utangulizi kabla ya Rais Kikwete kufungua kikao hicho leo jioni.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshauri jambo, Mwenyeki wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa kikao hicho
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshauri jambo, Mwenyeki wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa kikao hicho
Spika wa lililokuwa Baraza la wawakilishi, Pandu Ameir Kificho na Spika wa Bunge Anna Makinda wakisubiri kwa hamu kuanzakwa kikao hicho.
Wajumbe waalikwa katika Kikao hicho, kutoka Baraza la Ushauri la Wazee wastafu wa CCM, wakiwa kwenye kikao hicho. Kutoka Kushoto ni Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu Pius Msekwa na Waziri Mkuuwa zamani, Cleopa Msuya.
Mzee Mwinyi akifurahia jambo na Mzee Mkapa kabla ya kikao kuanza
Mzee Msekwa na Mzee Msuya
Mgombea Urais, Makamu Wa Rais, Dk. Muhammed Gharib Bilal akisalimia wajumbe kwa unyenyekevu alipoingia ukumbini. Baadaye alitolewa nje ya ukumbi wakati kikao kilipoanza
Makame Mbarawa na Dk. Hussein Mwinyi kikaoni
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijadili jambo na Mjumbe mwenzake Adam Kimbisa
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Emmanuel Nchimbi akiwasalimia wajumbe wenzake.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume akisalimia wajumbe
Wajumbe wakiwa wameketi ukumbini
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akijadili jambo na mjumbe mwenzake wa Kamati Kuu ya CCM, Zakia Meghji
JK alipokuwa akiwasili ukumbini
JK baada ya kuketi ukumbini
Katibu Mkuu wa CCM akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete kufungua kikao
Kikao kikiendelea
0 comments :
Post a Comment