Mabalozi walioagana na Rais leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India
anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda
kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji ikulu jijini Dar es Salaam alipokwenda kumuaga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Sweden nchini
aliyemaliza muda wake Mhe.Lennarth Hjelmaker ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Sweden nchini
aliyemaliza muda wake Mhe.Lennarth Hjelmaker ikulu jijini Dar es Salaam
(picha na Freddy Maro)


0 comments :
Post a Comment