
a Vijana Kinondoni kugombania ubingwa wa Taifa wa uzito wa kg 57
mpambano
uho unaoratibiwa na Ibrahimu Kamwe utakuwa na mapambano mengine ya
utangulizi yatakayowakutanisha mabondia mbalimbali nchini ambapo bondia
Abdallah Pazi atazidunda na Ambokile Chusa na Georger Alen wa Muheza
Tanga atazipiga na Mwinyi Mmzengela wakati Epson John wa Morogoro
atazidunda na Mohamed Alkaida
Kamwe
aliongeza kwa kusema mpambano uho ameuandaa kwa kuakikisha wanakuwa na
mabondia wengi ambao watakuwa mabingwa na kuwakilisha nchi katika
mapambano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa
Katika
mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa
ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali
kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta
kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super
D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa
pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha.(P.T)
0 comments :
Post a Comment