Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. B. Buriani akiongea na
Watanzania waishio nchini humo mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati
ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan. Picha na Mariam mwakilishi
wa Vijimambo Japan.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. B. Buriani akigonganisha
glasi na mmoja wa Watanzania waishio Japan siku alipowakaribisha
nyumbani mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa
mfalme Akihito wa Japan.
Maafisa, wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japani wakiwemo
Watanzania waishio nchini humo wakimsikiliza Balozi mpya wa Tanzania
nchini Japan Mhe. B. Buriani alipokua akiongea nao mara tu baada ya
kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan.
Maafisa, wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japani wakiwemo
Watanzania waishio nchini humo wakimsikiliza Balozi mpya wa Tanzania
nchini Japan Mhe. B. Buriani
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
0 comments :
Post a Comment