MWAKILISHI MAALUMU WA MAREKANI KATIKA ENEO LA MAZIWA MAKUU, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

l

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimkaribisha Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (wapili kushoto), Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser (kushoto), pamoja na wasaidizi wa viongozi hao wanaoiwakilisha Marekani (kulia), kabla ya kuanza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
o
Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) wakati wa
mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
s
Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment