Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza
kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akimkabidhi mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dk. John
Pombe Magufuli ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 -2020
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akimkabidhi mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan ilani ya
uchaguzi ya CCM kwenye uzinduzi wa kampeni uliofanyika viwanja vya
Jangwani.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli pamoja na
mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakionyesha Ilani ya Uchaguzi ya
mwaka 2015-2020 katikati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ndiye
aliwakabidhi ilani hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho Kikweteakizungumza baada ya kukabidhi ilani kwa mgombea wa CCM
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa jiji
la Dar es salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa uzinduzi wa
kampeni kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam.
TOT wakitoa burudani kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete(kulia) akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed
Shein kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa bongo wakiwa jukwaan
0 comments :
Post a Comment