Kutoka
kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona,
Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya, aliyeshiriki
shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna Kiogwe, na Evelina Mageni
ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa mshiriki wa
shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015.
Meneja
wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia juu ya
mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Novemba 20 2015 kaika
Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es salaam
Ofisa
msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya akizungumzia
kuhusu mkutano mkubwa wa mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Ufaransa.
Evelina
Mageni ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa
mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 akizungumza umuhimu
wa wakulima kushirikishwa katika kutunga sera, utunzaji wa ardhi kwa
ajili ya kilimo.
Kushoto
aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna
Kiogwe akichangia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari
kuelekea mkutano mkuu wa Tabia nchi.
0 comments :
Post a Comment