BREAKING NEWS:RAIS JOHN MAGUFULI AENDELEA KUTUMBUA MAJIPU ,ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA TAKUKURU DR.EDWARD HOSEA LEO.

@nkupamah blog
 
Slim Grandson Slim's photo.


Rais Dr. John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Dr. Edward Hosea kuanzia leo kwasababu yakutoridhishwa na
utendaji wa taasisi hiyo.
Katika hatua nyingine Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue, amesema, Rais John Pombe Magufuli ameagiza kusimamishwa kaz mara moja kwa watumishi wanne Wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambao walisafiri nje ya nchi licha Rais Magufuli kupiga marufuku safari za nje ya nchi licha Rais Magufuli kupiga marufuku safari za nje kwa Watumishi wa Umma..
Watumishi hao ni Mary Mosha , Ekwabi Mujungu, Doreen Kapwani na Rukia Nakitasi ambao walisafiri nje ya nchi licha ya kunyimwa kibali cha safari kutoka kwa Rais ama Katibu mkuu..
Balozi Sefue amewataka watumishi wengine wa Umma kutii agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dr John Pombe Magufuli na kuonya kuwa atakae kiuka atachukuliwa hatua Kali....

Taarifa rasmi kutoka ikulu hii hapa:-


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment