JAMES LEMBELI AFUNGUKA HAYA JUU YA PAUL MAKONDA NA SAKATA LA KUMTIA NDANI SAID KUBENEA


@nkupamah blog

DAR ES SALAAM

ALIYEKUWA Mbunge wa zamani wa jimbo la Kahama kupitia CCM,kabla ya kulikosa jimbo hilo mara
baada ya kuhamia CHADEMA,James Lembeli amesema kuwa anashindwa kuelewa ni kwa nini Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni anashindwa kufanya kazi zake ipasavyo.
Lembeli ambaye alijiunga CHADEMA kwa mbwembwe nyingi pamoja na aliyekuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kagera,Ester Bulaya ,amesema kuwa mambo anayoyafanya Mkuu wa wilaya huyo machachari ni sawa na kutekeleza maagizo ya wakubwa wake
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment