Waziri kuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili nahodha wa timu ya mpira
wa miguu ya Super Mark ya kijiji cha Nabgulugai wilayani Ruagwa, Paulo
Joseph baada ya
kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 21,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri kuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili nahodha wa timu ya mpira
wa miguu ya Super Mark ya kijiji cha Nabgulugai wilayani Ruagwa, Issa
Ngele baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 21,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary
Majaliwa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha Narungombe wilayani Ruangwa
Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments :
Post a Comment