Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais – Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (mbele),
akitafakari jambo wakati wa kikao cha kujadili changamoto na utekelezaji
wa majukumu ya Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) jijini Dar es Salaam leo,
kushoto kwake ni
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Abdulrahaman Jumbe. (Picha na
OMR)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais – Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (katikati),
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC)
katika Mkutano wa kujadili changamoto na utekelezaji wa majukumu ya
Tume hiyo. (Picha na OMR)
0 comments :
Post a Comment