NGOMA MPYA YA PETER MSECHU YAWACHANGANYA WANIGERIA

@nkupamah blog

DAR ES SALAAM


Baada ya kimya kirefu cha nyota wa Bongo Fleva Peter Msechu amaeachia ngoma yake mpya leo, aliyo ipa jina la MALAVA

Msechu ameuambia mtandao huu kuwa ngoma hiyo imeandaliwa na Prudyuza wa Bongo TEAZ VILLAH lakini baada ya kuwatumia Wa Nigeria Ngoma ya MALAVA wamechanganyikiwa na Jinsi inavyoanza, nakuanza kuifananisha na baadhi ya Ngoma za Davido zinazo andaliwa na Mnigeria Sheyi Akerele A.K.A SHIZZ, ambapo ngoma ya MALAVA inaendelea kujipatia umaarufu mkubwa nchini humo kutokana na jinsi ilivyo changanywa mwanzoni na prodyuza TEAZ na mahadhi yake kwa ujumla.

Kuhusu video ya Ngoma hiyo Msechu amesema anatarajia kusafiri Ijumaa ya wiki hii kuelekea Nirobi nchini Kenya ambako maandalizi na ‘shooting’ ya MALAVA itafanyikia huko, na mungu akipenda Ijumatano ya Wiki Ijayo kila kitu kitakuwa tayari

Mtembezi.com ilimdadisi Msechu ni ‘Director’ yupi atakaye ‘shoot’ ngoma hiyo alijibu Ni Mkenya ila kwasasa siwezi kumuweka wazi mpaka video itakapo kamilika

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment