NI KAMA:
Picha inaonyesha mmoja wa ndugu akiwapongeza mabwana harusi mara baada ya kukamilisha kwa taratibu husika.
Picha hiyo imekuwa ikisambaa kwa kasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii mara baada ya kuwekwa mtandaoni na imekuwa ikiwavutia watazamaji wengi.
0 comments :
Post a Comment