Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu |
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya
ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani
pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu
ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

Wanafunzi
hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii , uchumi na
biashara waliofanya ziara hiyo ikiwa chini ya mwamvuli wa University of
Dar es Salaam Tourism Association (DUTA) ,walipata fursa ya kujifunza na
kushuhudia wanyama pori pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole na
kuhamasisha jamii hasa ya wasomi kuwa mfano wa kuigwa kwa kuzuru hifadhi
pamoja na makumbusho ili kuhimiza utalii wa ndani.

Hii ni tabia ya kipekee ya ngiri ambapo hula nyasi akiwa amepiga mfano wa magoti kwa kukunja miguu ya mbele |
Mtembezi na muelekezi katika hifadhi ya Saadani Bw.Mollel akifafanua jambo wakati wa ziara ndani ya hifadhi |
Baadhi ya wanafunzi wakisikiliza historia kuhusu mji huu wa Saadani huku toka kwa mwenyeji na mkongwe wa eneo hilo mzee Mlelwa (mwenye shati la kijani) wakati wa jioni |
Mambo ya Msosi: baadhi ya wanafunzi wakiwa katika harakati za kuchoma kitoweo kwa ajili ya mlo wa usiku
|
0 comments :
Post a Comment