Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Maalim Seif Sharif
Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa
ya Zanzibar. Katika Mazungumzo hayo viongozi wote wamefurahishwa na
hali ya usalama na utulivu inayoendelea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maalim Seif Sharif
Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais amemshukuru Maalim Seif na amemsihi
waendelee na mazungumzo hadi suluhisho la muufaka lipatikane.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Maalim Seif Sharif Hamad
,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu
jijini Dar es Salaam, wakwanza kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Maalim Seif
Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar
pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Tonia Kandiero Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuelekeza jambo Mwakilishi Mkazi wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Tonia Kandiero Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Benki
ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Tonia Kandiero Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Rwanda hapa
nchini Eugene Kayihura aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Rwanda hapa
nchini Eugene Kayihura aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Picha
zote na IKULU
0 comments :
Post a Comment