Waziri Mkuu,Kassim Majliwa
akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika kuwahudumia wagonjwa wao
waliolazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuitembelea akiwa
katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo,
Thabiti Mwabungu na kulia ni Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabiti Mwambungu.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Baadhi ya wauguzi na waganga wa
hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
wakati alipozungumza nao baada ya kutembelea hopitali hiyo Januari 5,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa,akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelzwa katika
hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo Waziri Mkuu aliitembelea na
kuzungumza na watumishi akiwa ktika ziara ya mkoa huo Januari 5,
2016.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akisalimiana na bibi Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata matibabu katika
chumba maalum cha waze katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati
alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5,
2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majliwa
akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma baada
ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.Kushoto
ni Mkuu wa Mkoa huo, Thabiti Mwabungu na kulia ni Mbunge wa Songea
Mjini, Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 comments :
Post a Comment