MAJALIWA AFUNGA MAFUNZO YA WATENDAJI WAKUU WA KIJESHI NA KIRAIA

Nkupamah media:

mf2
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza wakati alipofunga mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

mf3
Washiriki wa  mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi wakGimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipofunga mafunzo hayo kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mf5
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi  baada ya kufunga mafunzo hayo  kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment