Nkupamah Media:
![]() |
Nuhu Mziwanda na ShiloleShilole Asema Kuachana na Nuh Mziwanda Hakumzuii Kuendelea na ‘Project’ ya Nyang’anyang’a |
‘’Hapana hainipi ugumu wowote kwasababu wimbo nimeimba bila kumtaja mtu jina ila nimesema nilimuimbia aliyekuwa mpenzi wangu Nuh Mziwanda,hakuna ambacho nishindwe kuendelea ku’promote’ wimbo wangu na hainipi ugumu wowote kabisa,’’Shilole.
Cloudsfm.com



0 comments :
Post a Comment