Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari (katikati) akimsikiliza
kwa makini Mwanasheria wa Mamlaka hiyo , Vallery Chamulungu wakati
alipokuwa akimkaribisha rasmi ofsini hapo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).Hamza Johari (watatu kushoto)
akimsikiliza kwa makini Mwanasheria wa Mamlaka hiyo , Vallery Chamulungu
(watatu kutoka kulia) wakati alipokuwa akimkaribisha rasmi ofisini
Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam. Wengini ni maofsa wa
mamlaka hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari (KUSHOTO)akisalimiana na
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uongozaji ndege na Huduma za ufundi , Bw.
Nyello Abeid ,wakati wa kumkalibisha rasmi kuanza kazi TCAA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akiwa katika kikao na
menejimenti ya Mamlaka hiyo mara baada ya kukaribishwa rasmi kuanza kazi
Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam.
.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari akiwa rasmi ofini kwake kuanza
majukumu yake kama Mkurugenzi Mkuu TCAA ,baada ya kukaribishwa rasmi
TCAA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akipokea Shada la maua
kutoka kwa mmoja wa wafanyaakzi wa Mamlaka hiyo ,Evelyne Ngachengo
,wakati alipokuwaakikaribishwa na wafanyakazi wenzake rasmi kuanza kazi
,rasmi ofisini Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam.
0 comments :
Post a Comment