Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefaanya ziara ya kikazi kujionea shughuli zinazofanywa katika sekta ya Afya na wadau mbalimbali ikiwemo Hospitali hiyo ya Kilutheri ambayo inahudumia eneo kubwa la Ukanda huo ikiwemo Mikoa ya Singida, Tabora, Manyara yenyewe na maeneo mengine ya karibu.
DSC_0026Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom
DSC_0030Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Dk. Michael Kadeghe
DSC_0043Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na baadhi ya Madaktari  wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom. 
DSC_0051DSC_0058
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni katika Hospitali hiyo ya Hydom
DSC_0073
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akielezea machache juu ya ujio wake katika hospitali hiyo
DSC_0101
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa kitengo cha Machi katika Hospitali hiyo ya Hydom.
DSC_0197
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo juu ya kitemgo maalum cha ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam katika Hospitali hiyo ya Hydm.
DSC_0210
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata picha ya pamoja na mtaalam wa masuala ya ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam ambaye anatoa mafunzo kwa wataalam wa ufundi wa vifaa hivyo mpango ambao unaendelea katika katika Hospitali hiyo ya Hydom.
DSC_0195
DSC_0132
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiangalia chumba cha CT-SCAN katika  Hospitali hiyo ya Hydom.
DSC_0135
Mashine ya kisasa ya CT-SCAN iliyopo katika hospitali hiyo ya Hydom DSC_0233Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akitembezwa katika moja ya wodi za Hospitaali hiyo ya  Hydom.
DSC_0251Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom kinachomilikiwa na Hospiatli hiyo ya  ya Hydom.
DSC_0255Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom kinachomilikiwa na Hospiatli hiyo ya  ya Hydom.
DSC_0256DSC_0259DSC_0260
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisikiliza kwa makini risala fupi kutoka kwa msimamizi wa Chuo hicho cha Uuguzi cha Hydom.
DSC_0272DSC_0284
DSC_0312
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akitoa maelezo kadhaa kwa uongozi wa Hospitaali hiyo ya Hydom muda mfupi baada ya kumaliza kwa kuitembelea.
DSC_0290
Wanafunzi wa chuo cha Uuguzi wakifuatilia mkutano huo..
DSC_0304DSC_0313DSC_0325
Mmoja wa wafanyakazi wa Hospitali ya Hydom akipata kuuliza swali katika mkutano huo.
DSC_0316
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akijibu baadhi ya maswali wakati wa mkutano huo ambapo aliomba mfanyakazi yeyote kuulizwa swali.DSC_0350
Moja ya muonekano wa jengo la Hospitali hiyo la Hydom
DSC_0344Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiondoka eneo la tukio baada ya kumaliza ukaguzi huo.