Mbwana Samatta anazidi kuonyesha uwezo mzuri wa kupachika mabao baada ya
jana kupachika bao lililoipa ushindi Genk wa bao mbili kwa moja dhidi
ya Oostende.,
Mbwana Samatta aliingia uwanjani dakika ya 80 na katika dakika 91 akapachika bao
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment
Facebook Comment