Jumba
hilo liko kwenye eneo lenye ukubwa futi za mraba elfu themanini
(80,000) ufukweni mwa jiji la Florida. Trump alinunua jumba hilo kwa
dola za Marekani Milioni 5 mwaka 1985 na kulifanyia ukarabati ambapo
sasa lina vyumba vya kulala 58, bafu 33, jiko lenye meza za Marble kwa
ukubwa wa futi 29, pamoja na sehemu za kuwasha moto 12.
Home
/
KIMATAIFA
/
PICHA 20: Bilioni 215 zilivyobadilisha muonekano wa Jumba la kifahari la Donald Trump
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments :
Post a Comment