VIDEO: Polisi yamuonyesha Kijana aliyesambaza Orodha feki ya wauza dawa za kulevya


Polisi kanda maalum Dar es salaam imemkamata kijana ambaye alisambaza taarifa za uongo kuhusu Watu wanaotuhumiwa kuhusika na uuzwaji, usambazaji na utumiaji wa dawa za kulevya Tanzania ambapo ndani ya hiyo orodha yake alimtaja pia Kiongozi wa kanisa katoliki.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment