Katika hali isiyokuwa ya kawaida chama cha wanasheria nchini TLS kupitia wanachama wake wanajiandaa kumfutia uanachama Waziri Mwakyembe kutokana na uamuziwake wa kutaka kukifuta chama hicho.Waziri mwakyembe ambaye pia ni mwanachama wa chama hicho.
Uamuzi huu umetolewa na Waziri wa zamani wa mambo ya ndani Laurent Masha na kuonekana kuungwa na mawakili wengi.
Ikumbukwe TLS kiko katika harakati za uchaguzi na Mh.Tundu Lissu ni mmoja wa wagombea wa Urais katika chama hicho.
0 comments :
Post a Comment