Ruge Asimulia Mwanzo Mwisho Alichokifanya Makonda Clouds

Ruge Mutahaba Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji kutoka Clouds Media Group leo March 20, 2017 amezungumzia taarifa za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenda Clouds TV akiwa na askari wenye silaha kwa maelezo kwamba alitaka kipindi chake kinachomuhusu mchungaji Josephat Gwajima kiruke kwenye TV.
Mkurugenzi Ruge amesema alipigiwa simu na kutoka moja ya viongozi wa Clouds Media na kuelezwa kuwa RC Makonda amefika ofisini hapo akiwa na askari.
Kufahamu kila kitu bonyeza play hapa chini kutazama


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment