Walimu Wa Sanaa Kuhamishwa

Serikali imesema itawahamisha walimu wa ziada katika masomo ya sanaa kwenye shule za sekondari wapatao 7463 kwenda shule za msingi kupunguza upungufu wa kuboresha elimu hiyo ya msingi.

Aidha tayari jaribio la mpango huo wa kuamisha walimu hao umeanza katika mkoa wa Arusha na kufanikiwa ,Itahusisha mikoa yote nchini hasa kwenye mahitaji.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment